KILITANZA FILMS AWARD 2026
"Sanaa ni Ajira, Tuthamini Vipaji"
SEHEMU A: TAARIFA ZA MWOMBAJI
Jina Kamili la Mwombaji / Kiongozi wa Kazi
Jina la Kikundi / Kampuni (Kama ipo)
Nafasi yako kwenye kazi
Jinsia
Chagua
Me (Kiume)
Ke (Kike)
Umri
Mkoa unakotoka (Kanda ya Kaskazini)
Chagua Mkoa
Kilimanjaro
Arusha
Manyara
Tanga
Namba ya Simu
Baruapepe (Email)
Anwani ya Makazi (Hiari)
SEHEMU B: TAARIFA ZA KAZI
Jina la Filamu / Tamthilia / Kazi
Aina ya Kazi
Chagua...
Filamu Fupi
Filamu Ndefu
Tamthilia
Web Series
Comedy
Nyinginezo
Lugha iliyotumika
Kiswahili
Kiingereza
Nyingine
Mwaka Kazi Ilipotolewa
Muda wa Kazi (Dakika)
Synopsis (Maelezo mafupi ya kazi - maneno 100-150)
SEHEMU C: VIPENGELE VINAVYOOMBWA
Filamu Bora Fupi Kanda ya Kaskazini
Filamu Bora Ndefu Kanda ya Kaskazini
Tamthilia Bora Kanda ya Kaskazini
Tamthilia ya Mtandaoni (Web Series)
Filamu Bora Ucheshi (Comedy)
Mwongozaji Bora (Best Director)
Mwigizaji Bora wa Kiume
Mwigizaji Bora wa Kike
Mwigizaji Bora Mpambe wa Kiume
Mwigizaji Bora Mpambe wa Kike
Filamu Bora Muswada (Best Script)
Filamu Bora Uhariri (Best Editor)
Filamu Bora Picha (Cinematography)
Filamu ya Utamaduni wa Kaskazini
SEHEMU D: VIAMBATISHO
Kiungo (Link) cha Kazi (Google Drive / YouTube)
Nakala ya Kitambulisho (NIDA / Kitambulisho cha Msanii)
Picha 2 za Kazi (High Resolution)
Picha ya Mwombaji au Kikundi
SEHEMU E: TAMKO LA MWOMBAJI
Mimi nathibitisha kuwa taarifa nilizotoa ni za kweli. Nakubaliana na kanuni, masharti na maamuzi ya waandaaji wa KILITANZA FILMS AWARD 2026.
Sahihi (Andika Jina Lako)
Tarehe ya Leo
Mwisho wa kuwasilisha: 15 Mei, 2026
WASILISHA MAOMBI RASMI